Tenzi Za Rohoni

Published by: Justin Bulenga
Downloads
Revenue

Description

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.
• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.
Hide Show More...

Screenshots

Tenzi Za Rohoni FAQ

  • Is Tenzi Za Rohoni free?

    Tenzi Za Rohoni is not free (it costs 2.99), however it doesn't contain in-app purchases or subscriptions.

  • Is Tenzi Za Rohoni legit?

    Not enough reviews to make a reliable assessment. The app needs more user feedback.

    Thanks for the vote

  • How much does Tenzi Za Rohoni cost?

    The price of Tenzi Za Rohoni is 2.99.

  • What is Tenzi Za Rohoni revenue?

    To get estimated revenue of Tenzi Za Rohoni app and other AppStore insights you can sign up to AppTail Mobile Analytics Platform.

User Rating

5 out of 5

2 ratings in United States

5 star
2
4 star
0
3 star
0
2 star
0
1 star
0
Ratings History

Tenzi Za Rohoni Reviews

Great Inspirational App

Njemba on

United States

I was looking for Tenzi za Rohoni app and this has been a blessing. It also has instrumental (piano) for most songs which is amazing. I started using this for our worship sessions since it is still a young ministry and we don’t have anyone who could play an instrument. Great work! I hope it will continue to develop and all songs with instrumental

Store Rankings

Ranking History
Category Rankings
Chart
Category
Rank
Top Paid
100
Top Paid
385
Top Paid
486

Keywords

Tenzi Za Rohoni Competitors

Name
Swahili M(A)L
Shule Direct
English To Swahili Dictionary
Smart Swahili Dictionary
Dictionary with explanation
Word Of Truth Christian Church
Biblia Takatifu
N/A
N/A
Swahili Quran
Quran Swahili translation
CCM_APP
Mfumo wa kujisajili na Taarifa
North Dakota CDL Permit Test
ND CDL Driver License Test

Tenzi Za Rohoni Installs

Last 30 days

Tenzi Za Rohoni Revenue

Last 30 days

Tenzi Za Rohoni Revenue and Downloads

Gain valuable insights into Tenzi Za Rohoni performance with our analytics.
Sign up now to access downloads, revenue, and more.

App Info

Category
Reference
Publisher
Justin Bulenga
Languages
English, Swahili
Recent release
3.1 (1 month ago )
Released on
Feb 18, 2022 (2 years ago )
Last Updated
11 hours ago