Shida kubwa sana
Hii app kuna zaidi ya 40% revenue inapotea sababu ya watu wana give up kuitumia, kuna inshu kubwa sana kwenye code za subscription inahisi mtu hajalipa wakati kalipa na clear cache haitatui, yani ni app ngumu kuliko zote nilizowahiziona, is time to get some competent iT in the US so make a real working app